Faraja nakutafuta hauonekani, faraja nakuita faraja. Baada ya wimbo wa CAF ni kwa wakubwa makundi hamfiki, baada ya kufika makundi wimbo ukabadilika. Mtakuwa wa mwisho kwenye kundi lenu hamtoboi mbele ya Belouizdad, Al Ahly na Medeama. Yanga imeingia robo fainali sasa wimbo unabadilika inatafutwa habari za nyuma, mara Simba imetoa kipigo vizito. Sasa unatoa kipigo kizito mwenzio anashinda ushindi mwembamba na anacheza fainali au kuchukua kombe je nani wa kujisifia hapo?
Kila msimu mnagotea hapo hapo na kujisifia ujinga.