H Haika JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,347 Reaction score 562 Apr 14, 2011 #1 Naomba maelekezo namna ninavyoweza kupata matokeo ya darasa la saba (online) kwa miaka mitatu iliopita, summary ya shule kwa shule, ili kujua shule zinazojitahidi katika mtihani wa darasa la saba
Naomba maelekezo namna ninavyoweza kupata matokeo ya darasa la saba (online) kwa miaka mitatu iliopita, summary ya shule kwa shule, ili kujua shule zinazojitahidi katika mtihani wa darasa la saba