Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 128 Jul 13, 2013 #1 kama una info' kuhusu lini matokeo ya diploma ya walimu wa 2013, tafadhari nieleze maana presure inazidi mno
kama una info' kuhusu lini matokeo ya diploma ya walimu wa 2013, tafadhari nieleze maana presure inazidi mno
F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 103 Jul 13, 2013 #2 Kumbe hata diploma wanakuwa na presha?
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 128 Jul 13, 2013 Thread starter #3 muulze yeyote aliyepga hyo paper mwaka huu akuambiE kibaya zaidi unatakiwa kufaulu masomo yote uliyopigia paper unles hakuna ajira, na cunajua mziki wa NECTA
muulze yeyote aliyepga hyo paper mwaka huu akuambiE kibaya zaidi unatakiwa kufaulu masomo yote uliyopigia paper unles hakuna ajira, na cunajua mziki wa NECTA