Matokeo form IV: Haya yalitamkwa na Prof Maghembe

Matokeo form IV: Haya yalitamkwa na Prof Maghembe

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
2,987
Reaction score
1,757
Wana JF

Ilikuwa mwaka 2010 wakati tunaelekea uchaguz mkuu na pia mitihani ya kidato cha nne. Waziri wa Elimu kipindi hicho Prof Maghembe akiwa ziarani Tarafa ya Ugweno katika shule ya Msingi Lambo kwenye mkutano wa Hadhara na matamshi yake yakarudiwa tena mwaka huo shule ya sekondari Vudoi Mwanga naomba kunukuu kwa kipare " Nangera emoghie mme!Nimi baba wa Wizara! nafuta mtihani wa kidato cha keri!vana venyu vetikakakethwe kangi! ugura pembe ja wizara halafu uthikete lughenjo kaa! uvo ni vurundu" maana yake ni " Nangera alijifungua Dume la Mbegu, yeye ndio Baba wa Wizara, amefuta mtihani wa kidato cha pili watoto wa wao hawatasumbuliwa tena kwa ada ya mtihani na pia mtihani wenyewe! unakuwaje mshika pembe za wizara alafu usiwe na msaada nyumbani, Huo ni Ujinga"(Nangera ni Mama yake Mzazi Prof Maghembe).

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa zao hili la Div 0 240,000 ndio wale ambao hawakufanya mtihani huo .

Naomba kuwasilisha
 
Maghembe, Kawambwa, Hawa Ghasia, Lukuvi na wengineo sijui huyu baba Mwanaashaa anawabebea nini?
 
profesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....................
 
Kusema ukweli huyu profesa mimi huwa simuelewi hata kidogo. Mbona sioni matunda ya uprofesa???
 
Duh .... kumbukumbu nzuri mno ambayo watu tulisahu jamaa alipodondosha taifa chini....
 
Angebaki wizara y elimu angeweza kufuta hata ya 0 level. Mpuuzi sana huyu mwili mkubwa ubongo wa sisimizi
 
Back
Top Bottom