Matokeo Form two!

mary mary

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
869
Reaction score
287
Ndugu zangu natafuta matokeo ya kidato cha pili 2011. Je kuna mahali pengine wanayatoa tofauti na shule niliyosomea? nisaidieni tafadhali
 
duh! jamani watu wananipita kama vile hawanioni
 
wanakupita wapi?me huwa naona vinavyoonekana.
Bado unayatafuta matokeo ya form two
 
wanakupita wapi?me huwa naona vinavyoonekana.
Bado unayatafuta matokeo ya form two
 
Ndio bado nayatafuta hata kama sio online ofisi inayotoa matokeo Dar. Kweli nahitaji kusaidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…