Matokeo hasi ya utandawazi

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
235
Reaction score
55
Samahani ndugu zangu. Mchango wenu ni wa maana na wa thamani mno kuhusu mada hapo juu. Natanguliza shukrani za dhati
 
Unapaswa ujue hili katika kila uzuri sana, kuna ubaya sana ndani yake. Tafakari
 
1.moral deterioration(kushuka kwa maadili). 2.watu kupoteza maisha kutokana na kuzushiwa stori mitandaoni then wengine wanaweza ku commit suicide.
 
Ndio maana graduates wa sasa hawajiwezi kazini. Nahisi kabisa hili ni swali la assignment sasa badala ya kusoma vitabu, scholarly journal articles, na kupata current affairs wewe mwenyewe unakuja kuuliza humu JF.

Kama unabisha hiki nilichohisi sio niambie sababu za msingi za wewe kutaka kujua jambo hili.

Mbaya zaidi hata 'haujachokoza' mada yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…