4m6 inabidi msubiri sana mpaka sisi tulio huku jkt tukirudi huko uraiani!
nenda wizara ya elimu United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training yanapangwa upya
Wizara tovutii au wizara ofisini? Sijakuelewa
we huko jkt mnaruhusiwa kutumia internet,si hamruhusiw?