matokeo!!!hebu niwekeni wazi!!

Cleverest

Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
15
Reaction score
1
leo tarehe 28 mida ya sa 1 ucku...nimekaa home ghafla nje naskia kelele...nauliza nn?!jibu nililopata results 4m 4 tayr...kabla cjakurupa wana jf na wanaskonga em nambieni pana paukweli hapa kuhusu hili?!!
 
hiyo inaitwa hallucination,yaani kusikia au kuona vitu ambavyo kiukweli havipo.Nenda hospitali mkuu.
 
tafadhali hebu fuata ushauri wa Ndebile hapo juu!
 
Lakni kweli jaman kama kweli hzo rzats tayar hebu tujuzeni koz 2shachoka kusubir
 
leo tarehe 28 mida ya sa 1 ucku...nimekaa home ghafla nje naskia kelele...nauliza nn?!jibu nililopata results 4m 4 tayr...kabla cjakurupa wana jf na wanaskonga em nambieni pana paukweli hapa kuhusu hili?!!
Siamini kama ulikuwa macho!! Nadhani ulikuwa unaota ...

Website ya baraza la mitihani isiwe nayo? Hao wengine wanayatoa wapi?
 
Server ya NECTA imeingia virus,hivyo matokeo yote yamefutika..sasa wanafanya process ya kuyadigitalize upya
 
hahah asanteni wakuu japo ndebele kashamaliza kila ki2
 
huu ni usemi wa wachina: 'kama ningepewa mti wa kukata miaka minne,miaka mitatu yote ningeitumia kunoa shoka' maana yake rahisi ni kwamba unyeti wa kazi ni maandalizi ya kufanya kazi hiyo. Walionoa shoka zao kwa miaka 3 na miezi 8 sasa hivi wamelala na asubuhi hao kwenye pre-fV tuition.
 
Server ya NECTA imeingia virus,hivyo matokeo yote yamefutika..sasa wanafanya process ya kuyadigitalize upya

duh ata hjaweka ushahid wa kihistoria wala wakisayansi!!so 2naitia kapuni teh..teh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…