wengi tumeshitushwa na matokeo ya kidato cha nne 2012,na kumekuwa na maoni mbalimbali na mengi toka kwa wadau mbalimbali wa elimu,moja ya maoni hayo ni pamoja na DK JOYCE NDALICHAKO ajiudhuru au kuachishwa kazi NECTA,kwangu mm napata shida kuelewa hoja hiyo,kwan sioni kosa la Ndalichako.Kwa kuzingatia kazi za baraza ni kutunga mitihani,kusahihisha na kutoa matokeo na serikali kazi yake kuandaa mitaala,vifaa vya mafunzö na kufundishia,kuandaa na kuajiri walimu,kuandaa sera ya elimu n.k,sasa kwa ww unaesema
https://www.jamiiforums.com/forum.php