matokeo kdato cha sita.

Pilo boy

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
56
Reaction score
9
jaman wadau wa jf,hv n kwel ufaul wa wanafunz kdato cha sita umeongezeka au ndo kutudanganya.
 
Hizo cheating tu hakuna kilicho ongezeka , kwanza ukiangalia f za Gs vimetapakaa hata pia kuna waliokuwa na 2 lkn wakapelekwa 3 cos of f ya Gs.Hao ni kujitapa tu ili kulizisha wazazi lisiwe Kama soo la form 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…