kuna baadhi wa watahiniwawamepata point 44,45 na 46 wamepewa ACHA WIVU WA KE UMEPOTEZA NINI?
we ndo uache ungese,ninachoongea nina uhakika nacho,so nimeuliza wamegawa hizi grade kwa mfumo gani?mfano;angalia kibasila secondary school namba yake ya usajili ni
s0316,mtahiniwa mwenye namba
s0316/0046 amepata
point 43 ana
division 0,lakini mtahiniwa mwenye namba
s0316/0048 amepata point hizo hizo
43 ana
div iv.mmtahiniwa mwenye namba
s0316/0060 ana
iv ya 43 lakini mwenye namba
s0316/0064 ana
0 ya 43?sasa huo wivu wa kike nikufanyie wewe kwa misingi ipi?haya ndo matatizo ya kutumia ma------ kufikiri.
(@*&&%^%^$^@&*&@& type kabisa wewe