sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka 2013 yanaoshesha kuwa, masomo yaliyo kwenye mpango wa Big Result Now(BRN) Yaani: kiswahili, english, biology na mathematics yameongoza kwa kufanya vizuri ukilinganisha na miaka iliyotangulia kabla ya uwepo wa huo mpango hasa mathematics na english. Je kuna kahuruma kalifanyika au ni ndo mafanikio ya BRN?