Matokeo kidato cha 4 wizi mtupu

Godlove jaxon

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
49
Reaction score
7
Inaonekana kutokana na wingi wa shule mpya za kata zenye kupokea wanafunzi wa kidato cha 5 matokeo yamecheleweshwa ili kustandardise alama za wanafunzi kwa hyo hadi wenye alama za chini watafaulishwa ili shule zote zpate wanafunzi usisikie kiwango cha ufaulu kmepanda ukashangaa kumbe
Mambulula wamejazwa shuleni wizi mtupuuu!!
 
Unaweza ukaona jinsi elimu ya tanzania,ilivyo!
Alafu yule bibi anawalinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…