F Farida rajabu Member Joined Apr 25, 2013 Posts 5 Reaction score 0 May 3, 2013 #1 Habari zenu, nasikia matokeo kidato cha nne 2012 kusahishwa upya, je ni kwa school canditates tu au adi ya private canditates?
Habari zenu, nasikia matokeo kidato cha nne 2012 kusahishwa upya, je ni kwa school canditates tu au adi ya private canditates?
Scofied JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,456 Reaction score 1,673 May 3, 2013 #2 habari kutoka bungeni ni kwamba matokeo yote yamefutwa na yatasahihishwa upya haraka iwezekanavyo...