Matokeo kidato cha nne 2013

Matokeo kidato cha nne 2013

rangau

Member
Joined
May 12, 2013
Posts
71
Reaction score
14
Kulikuwa na tetesi kuwa Matokeo Mapya ya kidato cha Nne yangetoka wiki iliyopita Kulikoni? Serikali yetu mbona siwaelewi jamani?
Hamjui mnatupandishia Kisukari mnapotudanganya? Jamani, na Advanced level au Chuo ni Lini mwaka huu?
 
Too much... si kuna thread zinaongelea haya mambo,!? hadi na wewe uanzishe yako!??
 
Kulikuwa na tetesi kuwa
Matokeo Mapya ya kidato cha Nne yangetoka wiki iliyopita Kulikoni?
Serikali yetu mbona siwaelewi jamani?
Hamjui mnatupandishia Kisukari mnapotudanganya? Jamani, na Advanced
level au Chuo ni Lini mwaka huu?

Mkuu mbona karibu yanatoka! waache necta bado wanayachakata ili idadi iwe kubwa! tuombe Mungu mkuu!
 
Mpaka inaboa kila muda unakutana na thread mpya za aina hii..

sasa we mkuu unaboreka nini kama unaboreka usichangie hoja subiri mpaka waanzishe thread nyingine au anzisha thread yako mwenyewe!
 
arRGH!! Nyie vijana wa mulugo mbona mchecheto mitandaoni!
 
Kulikuwa na tetesi kuwa
Matokeo Mapya ya kidato cha Nne yangetoka wiki iliyopita Kulikoni?
Serikali yetu mbona siwaelewi jamani?
Hamjui mnatupandishia Kisukari mnapotudanganya? Jamani, na Advanced
level au Chuo ni Lini mwaka huu?

Tuliza munkali mkuu,mpaka sasa kuna zaidi ya wanafunzi 50000 wamepata nafuu ya kuendelea na A -level.na mchakato wa kuchakata matokeo una endelea kwa hiyo don't loose hope kama una Dv 4 ya 30 kushuka chini unaweza ukapita wala usihofu we kuwa na imani na umwombe mungu!
 
Jamani mbona mnamzingua kijana huyo, presha ndo inamsumbua xo acheni kutema pumba kama huna cha kujibu, piga kimya.
 
Kulikuwa na tetesi kuwa Matokeo Mapya ya kidato cha Nne yangetoka wiki iliyopita Kulikoni? Serikali yetu mbona siwaelewi jamani?
Hamjui mnatupandishia Kisukari mnapotudanganya? Jamani, na Advanced level au Chuo ni Lini mwaka huu?

mbulula wewe unafkri mtihan wa taifa n kama test drsn? 2lia ungoje uvune ulichopanda
 
hahahahaaaa kasha shiba chai huyo mkuu

Hv mkuu JF haina sheria kali kwa wale wanaotumia lugha chafu humu ndani? maana unakuta mtu yupo serious enogh anauliza kitu cha msingi ili apate ushauri,matokeo yake ana ambulia matusi! kwa mwendo huu wabongo hatuta progress hata kidogo!
 
Kulikuwa na tetesi kuwa Matokeo Mapya ya kidato cha Nne yangetoka wiki iliyopita Kulikoni? Serikali yetu mbona siwaelewi jamani?
Hamjui mnatupandishia Kisukari mnapotudanganya? Jamani, na Advanced level au Chuo ni Lini mwaka huu?

unailaumu serkal kwan yenyewe ndo ilikupa hizo tetesi
 
Jamani mbona mnamzingua
kijana huyo, presha ndo inamsumbua xo acheni kutema pumba kama huna cha
kujibu, piga kimya.

Humu kuna form four walio chora mazombi na wameambulia dv 0 hivyo wanamuonea wivu dogo! cha kumsihi huyo dogo asisikilize upuuzi wa watu wasiojielewa atapita tu mbona!
 
Back
Top Bottom