Davies Davies
Senior Member
- May 20, 2013
- 118
- 12
Hv mkuu JF haina sheria kali kwa wale wanaotumia lugha chafu humu ndani? maana unakuta mtu yupo serious enogh anauliza kitu cha msingi ili apate ushauri,matokeo yake ana ambulia matusi! kwa mwendo huu wabongo hatuta progress hata kidogo!
Sheria zipo kibao tu sema si unajua watu hatufanani Mkuu
wewe ndo haujielewi kabisa mkuu,inaonekana haujamuelewa huyo kijana kuwa mstaarabu ueleweshwe sio unakurupuka tu!
ameanza na lawama utadhan
necta walitangaza siku ya kutoa matokeo, hapo aliyekurupuka ni wewe coz
umejibu kitu ambacho haukielew
sasa kama alianza na lawama huyo Isack wa uwongo kamtoa wapi?na hakuna relation yoyote kati ya jina na matokeo ya mtu! umenipata mkuu! au na ww ndo walewale!
Humu kuna form four walio chora mazombi na wameambulia dv 0 hivyo wanamuonea wivu dogo! cha kumsihi huyo dogo asisikilize upuuzi wa watu wasiojielewa atapita tu mbona!
wewe mwenye upo kwenye
kundi gani hapo. . , jana ulipost matokeo yakô ya form4 leo unamuita
form4 mwenzio DOGO?? wote nyinyi wamoja, mlicho kpanda mmeshakivuna,
kinacheletwa sasa ni huruma dhidi ya wahanga.
swali lako mkuu ni zuri,ila ningependa kukutaarifu kuwa aliyepost matokeo ni dogo lkn sasa hivi huyu sio dogo ni mtu mzima! aliniomba nimupostie matokeo yake tu! cjui umenipata vizuri mkuu!
umeanza kujitetea mapema hivi!
hahahahahaaa! mkubwa mimi nilishaga pita huko mda! mi nin wasiwasi na kidato cha sita! hapo utanikamata
sasa we mkuu unaboreka nini kama unaboreka usichangie hoja subiri mpaka waanzishe thread nyingine au anzisha thread yako mwenyewe!
hapo nimekuelewa sasa
tatizo sio kuchangia hoja!
Haya ma thread yenu ya matokeo yamekuwa mwengi sana kila baada ya muda
mfupi mtu anaanzisha uzi kama huu...
kwa hiyo hicho ndo kinakukela? basi kama hivo anzisha JF ya kwako personaly!
Yaika mwana wasu, wbhana wbhanu wbhatali na bhwenge, tubhaleke chonka.