Matokeo kidato cha nne 2013

Mimi nashangaa yanayo ongelewa katika thread hii ni ya kielimu, ila sijapendezwa na mjadala wa baadhi yetu, let us be genuine tunapochangia thread ya mtu AND sometimes silence means wisdom!
 
Mimi nashangaa yanayo
ongelewa katika thread hii ni ya kielimu, ila sijapendezwa na mjadala wa
baadhi yetu, let us be genuine tunapochangia thread ya mtu AND
sometimes silence means wisdom!

umenena mkuu
 
Kwa kijana anayejitambua huu si muda wa kushinda kwenye mitandao mnaulizia matokeo ni mda wa kupiga kazi mtaani ili hata matokeo hayo yakitoka vizuri uwe na cha kuanzia na sio kuomba pesa mpaka ya boxer kumbuka matokeo ni lazima yaandaliwe taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…