Eghorohe
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 220
- 79
Na mwandishi wetu Fredy Azzah-Gazeti la mwananchi February 9, 2012
BARAZA la Mtihani la Taifa(Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yanaonyesha kuwa asilimia 53.59 ya wanafunzi 426,314 waliofanya mtihani huo wamefaulu.
Maana yake 53.59% wamepata division 1-4, na waliobaki wamepata zero,hata waliopata division four ya 31 nao wanahesabika wamefauru. Hivyo waliopata zero ni 46.41%