Na mwandishi wetu Fredy Azzah-Gazeti la mwananchi February 9, 2012
BARAZA la Mtihani la Taifa(Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yanaonyesha kuwa asilimia 53.59 ya wanafunzi 426,314 waliofanya mtihani huo wamefaulu.
Maana yake 53.59% wamepata division 1-4, na waliobaki wamepata zero,hata waliopata division four ya 31 nao wanahesabika wamefauru. Hivyo waliopata zero ni 46.41%
wamefauru = wamefaulu
wamefauru = wamefaulu
teh teh teh tehs0497 temeke youth muslim secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 9 fld= 16
na waliopata 4 ni % ngapi?
Pathetic! Hawa wote (90%) tunawapeleka wapi? Yaani hili ni janga la kitaifa.waliopata div.1 mpaka 3 = 9.98%
waliopata div.4 =43.39%
waliopata div.0= 46.63%
Jamaa inabidi wakae chini na kuacha kupigania hijabu na misikiti mashuleni. Nasubiri kwa hamu radio iman watajadili vipi haya matokeo.s0497 temeke youth muslim secondary school
div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 9 fld= 16
lengo nadhani ilikuwa ni kuzalisha WAJINGA(FOOLS PRODUCTION),hivyo kwa hili serikali nadhani wamefanikiwa.walitaka watu ambao wataweza kutawalika kirahisi lakini huenda hii ikageuka ikawa kinyume chake.Pathetic! Hawa wote (90%) tunawapeleka wapi? Yaani hili ni janga la kitaifa.
Jamaa inabidi wakae chini na kuacha kupigania hijabu na misikiti mashuleni. Nasubiri kwa hamu radio iman watajadili vipi haya matokeo.