kakakuona40
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 300
- 52
Tusubiri kuona comments za maaskofu maana hali ni mbaya katoka shule zao, kweli nimeamini serikali ya CCM kiboko hakuna wizi tena wa mitihani, Vihiyo watakwisha soon, na ukweli utajulikana.
mfano ni huu hapa chini
kazi kwenu
[h=3]S4011 ST AGATHON SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 18 FLD = 16[/h]
nafikiri kanisa katoliki lifanye uchunguzi wa hizi shule zinazotumia saints.
in reality that dam fuc...k...n school is not managed by kanisa.
lakini pia mkuu umeona top ten eh!! shule ngapi za kanisa zipo. hesabu hallafu uje uniambie.