T Tilya18 Member Joined Jun 13, 2011 Posts 45 Reaction score 7 Jan 29, 2012 #1 Matokeo kidato cha nne mbona haieleweki ni lini, mara walisema ni tarehe 16/1 sasa wanasema ni tarehe 14/2; huku si ndiko kuchanganyana jamani? Tafadhali sana NECTA muwe static.
Matokeo kidato cha nne mbona haieleweki ni lini, mara walisema ni tarehe 16/1 sasa wanasema ni tarehe 14/2; huku si ndiko kuchanganyana jamani? Tafadhali sana NECTA muwe static.
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,047 Jan 29, 2012 #2 Dah! Tarh 14, plz unaweza cutoa source ya hii tarh 14 feb? Au ni stor 2 za ktaa.
T Tilya18 Member Joined Jun 13, 2011 Posts 45 Reaction score 7 Jan 29, 2012 Thread starter #3 Taarifa hii inatoka katika ofisi ya afisa elimu wa mkoa wa Kilimanjaro.