Matokeo kidato cha Nne, mcitegemee miujiza

SR senior

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
358
Reaction score
68
nimecikia lawama nyingi sana, hasa za kuituhumu serikali juu ya kufeli wanafunzi kidato cha NNe...ukweli ni kuwa mcitegemee miujiza kwny ufaulu wa watoto wenu, watoto hawa wanaoshindana kuvaa headphone za simu, hawahawa wanaoccheza viduku huku mkiwapigia makofi kushangilia? Hawa hawa wanaorudi nyumbani wakashinda kuangalia tamthiliya na filam za bongo, au pool table, chandim na mingine ico kichwa wala miguu? Ni wangapi wanapata muda wa kufatilia maendeleo ya watoto wao shule na nyumbani....hakuna kufaulu bila kusoma, ufaulu hutegemea hasa juhud binafsi na muongozo wa mwl kwa asilimia chache...najua serikali ilikosea sana ilipochanganya siasa na elimu kwa kufuta mtihani wa form two! Lakn kila mmoja anacheza nafac yake, serikali, mzazi, mwalimu na mtoto mwnyewe, wac wac wangu ni huku taifa linakoelekea sabab najua baadhi mtalazimisha vilaza hao wawe walim kama tulionao baadhi leo hii,wauguz na madaktari, ukweli ni kua sabab alizotoa shukuru kawambwa zina mashiko kuwa watoto wengi wana uelewa mdogo...kweli kizazi cha uzazi wa mpango ni kizito mno kuelewa......nitaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…