Matokeo kidato cha nne: Nini kilifanyika?

Matokeo kidato cha nne: Nini kilifanyika?

kimaus

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
582
Reaction score
707
Nashindwa kuelewa ni kitu gani kilifanyiwa mabadiliko ktk mitihani ya kidato cha nne. Nilisikia awali grading zilikuwa mpya so watarudisha grading za zamani, swali, Je mtu mwenye four ya 27 kwa grades mpya iweje apate four ya 26 kwa grades mpya ilhali C ya grades mpya ni almost B ya grades za zamani?
Kama walirudia kusahihisha mitihani, je inawezekana kusahihisha mitihani na kugrade ndani ya mwezi mmoja?
Sipati jibu, nahisi hii ilikuwa ni move ya kupunguza ZEROS KWA LAZIMA!
Wenzangu mnasemaje wadau?
 
Kilichofanyika ni ULAGHAI, kama wamefanya regrading inakuwaje shule zingine hakuna mabadiliko yoyote, na baadhi ya watu wameshushiwa kabisa grade badala yakupanda? HAKYAMUNGU KAMA UNA PESA PELEKA MWANAO AKASOME UCHINA, huku Bongo ELIMU HAKUNA, KAMA WAZIRI MWENYEWE ANAYEONGOZA WIZARA INAYOHUSIKA NA ELIMU ANA VYETI VYA MAGUMASHI UNATEGEMEA NINI?
 
Mi ndio nimeshindwa kuelewa sababu za kuyarudia nini km sehemu kubwa yako vile vile! Kilichorekebishwa ni nini?
 
Nashindwa kuelewa ni kitu gani kilifanyiwa mabadiliko ktk mitihani ya kidato cha nne. Nilisikia awali grading zilikuwa mpya so watarudisha grading za zamani, swali, Je mtu mwenye four ya 27 kwa grades mpya iweje apate four ya 26 kwa grades mpya ilhali C ya grades mpya ni almost B ya grades za zamani?Kama walirudia kusahihisha mitihani, je inawezekana kusahihisha mitihani na kugrade ndani ya mwezi mmoja? Sipati jibu, nahisi hii ilikuwa ni move ya kupunguza ZEROS KWA LAZIMA! Wenzangu mnasemaje wadau?
afadhali wewe umepata bonus kuna watu hawakuambulia chochote. lakini na wewe unataka alama za ccm za nini ili uende wapi hapo hapo panakutosha usizsogee mbele zaidi maana ndio chanzo cha kupata fake doctors, fake engineers and lawyer? ukitaka anza upya lakini sio maksi za mkupuo. hivi wewe ulidhani mfumo huu utakusaidiaje zaidi ya hizo alama za ccm
 
Back
Top Bottom