Matokeo kidato cha nne yakaribia kutoka

Joined
Jan 23, 2014
Posts
24
Reaction score
7
Kwa mjb wa wazr w elm n mafnz y ufnd ndg shukur katambwa matokeo ya fom 4 yamekarbia ktoka.Kufkia feb,18 yatakuwa tyar
 
Yanini wakati yana div 5 hata wasipotoa
 
Mkuu,punguza presha..Hata ukifeli mbona unaweza ukarisiti!
Ona sasa ulichotuandikia..
MJB badala ya MAJIBU
WAZR badala ya WAZIRI
W badala ya WA
NAa mengine utaangalia mwenyewe..

"Nlikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…