Bila kuboresha mazingira ktk Shule za kata matokeo yataendelea kushuka kitafika kipindi hata wakiweka A iishie 45 bado wanafunzi hawataipata.... Waache SIASA wapeleke vitabu, walimu, wajenge maabara na zana za kufundishia na kujifunziaKaka ukistaajabu ya musa utazima kuona samsoni akivunja miamba.. Nilicho sikia mimi ni kwamba eti kwa kuwa shule za kata ndio hasa hufanya vibaya! Hzo ndizo zimelengwa kufanyiwa hyo adjustment ili serikali waonekane wame upgrade ktk kusimamia muamko wa elim. Ndo taifa letu jamani. Litawaliwalo na watu wazima waigizaji na ubishow
Poin noted.
Chukua soda hapo dukani kwa Mangi,
mwambie aandike kwenye bili ya Mphamvu.
Sawasawa?
Hizo ni taarifa za kweli na sababu hasa ni wanafunzi wa kiislamu wamefeli sana na shule za kiislam kuwa na matokeo mabaya.nchi afadhali ingeongozwa na mbwa
Waziri wa elimu na katibu mkuu (waislam) wanaendekeza udini sana
Ukimya wangu humu jamvini ulinisogeza karibu na Wasahihishaji wa Mitihani ya Kidato cha nne.Wasahihishaji wamenidokeza kuwa kutokana na kufanya vibaya kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliomaliza Oktoba mwaka jana kuliko hata mwaka uliotangulia 2010,Serikali iliamua kufanya 'Standardization' ya kuua rasmi elimu ya Tanzania.Habari zilizonifikia zinasema kuwa Daraja D limehesabiwa kuanzia alama 15,C-35,B-55 na A-75 badala ya 21,41,61 na 81 inavyotakiwa kuwa kwa madaraja husika.Kulitokea mvutano wa wazi katika kikao hicho cha 'kustandardize'.Serikali imelenga kutangaza kuwa Matokeo ni mazuri na ufaulu umepanda.Inajiandaa kujisifu kwa takwimu.Baraza haliko tayari kwa hilo.Mvutano.Hii ndio sababu hasa ya kuchelewa kutangazwa kwa matokeo hayo.Mwenye macho haambiwi tazama.