Matokeo kidato cha nne yamechakachuliwa

CCM oyeeeee
 
[h=3]P0101 AZANIA SECONDARY SCHOOL CENTRE
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 29 FLD = 14[/h]Jamani nini kimetokea kwenye sekta ya Elimu?
Zamani wakati tunasoma ilikuwa, kama kijana hakuchagulliwa kwenda shule kama hii ya Azani, tambaza, Kwiro (kwa wale wa mikoani), Kilakala, na nyingine zinazofanana na hizo kwa shule za serikali, anaumia roho sana. Lakini siku hizi inaonekana hizi shule zilienda na elininyo. Is this the AZANIA ile ilioko pale karibu na Madaktari waliogoma? au ni nyingine?
Elimu ya Tanzania kwishney!
 
Waacheni hao wanafunzi waje, mpka watakapokuwa wamefikia Vyuo Vikuu, muone kitakachotokea,
 
HII NI BORA ELIMU TUU KINACHOFANYIKA, coz watoto wanagraduate bila elimu ya 4m 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…