Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizara mbovu kuliko zote matokeo wanatoa leo walioferi wanarudi nyumbani au wanarudia kidato cha kwanza?
ndo athari za mgomo wa kmya kwa kmya! mpaka leo walimu wapo kwenye mgomo. na bado mambo yataendelea kuwa mabaya, serikali walipeni haki zao la sivyo nchi itendelea kuwa ya wajinga! sasa ndo tunaelekea kwa madaktari tusubili zahama ya vifo utakapoanza mgomo wa kmya kwa kmya wa madaktari kama hawatalipwa haki zao wakati wabunge wanajiongezea posho zisizo na tija!
Wizara mbovu kuliko zote matokeo wanatoa leo walioferi wanarudi nyumbani au wanarudia kidato cha kwanza?
kwahiyo wanarudia kidato cha pili....walimu wanamgomo
na bado unafundisha wanafunzi 100 darasa moja kati ya hao 20 wamekaa chini afu kuna vitabu 3 tu, hata mimi mwalimu wanafunzi wakifaulu nashangaa.... Unategemea ntasihisha madaftari zaidi ya 200 kwa mshahara huu, tena na red pen nijinunulie! Kwa mshahara upi