B Bruno Lukuwi Member Joined Jan 4, 2013 Posts 6 Reaction score 1 Jan 9, 2013 #1 nataka nijue wadogo zetu walio/watakao feli kidato cha pili wataludia darasa kweli au zilikuwa ni siasa?
nataka nijue wadogo zetu walio/watakao feli kidato cha pili wataludia darasa kweli au zilikuwa ni siasa?
Mwamgunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 247 Reaction score 48 Jan 9, 2013 #2 Ngoja wafeli ndo 2jue!
Y ylazaro Member Joined Dec 16, 2012 Posts 13 Reaction score 1 Jan 9, 2013 #3 Apa itafikia wakati shule zingne ztakosa wanafunzi wa kidato cha tatu mwaka 2013,lazma sheria ifuatwe kwa malengo na madhumuni husika
Apa itafikia wakati shule zingne ztakosa wanafunzi wa kidato cha tatu mwaka 2013,lazma sheria ifuatwe kwa malengo na madhumuni husika