I contacted one of NECTA's IT personnel anasema instructions walizopewa ni kuwa they should release them on thursday!!
Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka.
Waziri gani ametangaza matokeo hayo
Ukiona ya mwanaasha weka 0Nashangaa sana. Wakati kusahihisha kwenyewe hatujamaliza.
TBC wamesema kwamba,eti ,alafu, matokeo ya kidato cha sita yametoka. Habari ilikuwa kama vile imepikwa na mtangazaji aliisoma kama kwenye rafu paper. Rafiki yangu ambaye alienda kusahihisha mitihani bado hajarudi , kweli TBC UKWELI NA UHAKIKA ,Ukija kwenye net ni selection za f.5
Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka.
Nashangaa sana. Wakati kusahihisha kwenyewe hatujamaliza.
We uwe unakuwa mtulivu, siyo ulichokisema hapo juu, ndiyo maana mnafeli mitihani kwa kukosea question instructions. Kilichotoka ni form five school allocations for form 4 last year