Matokeo kidato cha sita 2013

Matokeo kidato cha sita 2013

Zero Brain

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Samahanini wadau naomba kujua km kuna mweny tetesi kuhusu matokeo kidato cha sita 2013 anifahamishe ni lin yatatangazwa?
 
jaman achen masihara kuna kifaranga kimekosa mood kuhusu haya matokeo! kama kuna mwenye taarifa za kueleweka atujuze wanajf
 
Ache Unafiki! Kama hujui kitu acha kuropoka.
Humu wanatakiwa Wasomi wajibizane na si kukejeliana!
 
Acheni Unafiki! Kama hujui kitu acha kuropoka.
Humu wanatakiwa Wasomi wajibizane na si kukejeliana!
 
Back
Top Bottom