Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa rasmi

Status
Not open for further replies.

chotarasukari

Senior Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
110
Reaction score
23
MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54

Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa


SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. MuhezaHigh School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaliua
10. Osward Mang'ombe

Kuona matokeo pitia hapa: http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE.htm

========

MATOKEO KIDATO CHA 6: 95.98% wafaulu kidato cha 6 kutoka 87.9% mwaka jana. Tambaza ndani ya shule 10 za mwisho, K/Katibu Mtendaji Necta C. Msonde atangaza leo.
 

Imekuaje hizi Tech ziwe kwenye list ya kumi bora mkiani? Kweli Iyunga, Mtwara Tech, nini kimewapata hawa?
 
Haloo wadau hivi Ndalichako alijiuzuru au alibadilisha kitengo? Nipo kijijini na sijapata taarifa zake nina takribani mwaka sasa.
 
Maskini shule ya kwenye mkoa wangu ndo yakumi du kazi kweli kweli
 
General Studies ilikuwa unawekea S,sasa hv watu wanagonga A,B,C,D,E,S kama masomo mengine,kweli BRN iko kazini,asante mtoa post kwa kutupa matokeo.
 
Maskini shule ya kwenye mkoa wangu ndo yakumi du kazi kweli kweli

Mkuu hebu niweke sawa, hivi Oswadi Mang'ombe na Chifu ihunyo ni shule mbili tofauti au ni shule moja ila majina mawili kama ilivyokuwa Musoma Allience na Musoma tech?
 
# HABARI MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014
YATANGAZWA!
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6
yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na
jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia
85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia
95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani
kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana
waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu
ni 26,825
- Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420
sawa na asilimia 12.54
- Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa
na asilimia 1.74.
- SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa
- SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. MuhezaHigh School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe
 
Jamani mbona mie hata siyaele, kuna dogo kapata DDCBC(PCB)..na yuko div 3 ya 12, huu mdadavuo ndo ukoje skuiz? maana zamani sio ingekua 1 ya 9..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…