Ongereni#NYARUBANDA HIGH SCHOOL#niliifungua hii shule Julai 2010#tukiwa na MH Rais J.K,ongera Diwani wa Nyarubanda(Mkigo) Hamisi Bitese(CCM)!!!!Pia nawapongeza sana Walimu wa Nyarubanda wakiongozwa na mkuu wao wa shule kijana Mayallah S!pamoja na Wanafunzi wao wakiwepo na Wapishi wao(Maneno&Rizone)