Wakati taifa likipigwa na butwaa kuhusu matokeo ya kidato cha nne. hebu tujikumbushe watu waliotufikisha hapa tulipofikia ...... soma gazeti la wakati huo mchakato wa kudidimiza elimu ulipoanzia na wale wabunge wa chama tawala walipoushangilia. fungua hii link hapa chini
Ifike wakati tuanze kuwawajibisha viongozi kwa maamuzi yao mabovu yaliyolisababishia taifa hasara kama hii sababu haiingii akilini professor mzima anakuja na uhamuzi wa kipuuzi kama huu.