potential girl
Member
- Aug 7, 2013
- 71
- 15
Natumaini great thinkers wote ni wazima...
Nimeguswa sana na jambo kubwa ambalo serikali yetu inajitahidi kuinua elimu yetu ambayo inaonekana kudidimia. Wanaita BIG RESULT NOW.
wana mpango wa kuboresha miundo mbinu kama madarasa, maabara, nyumba za walimu nk
kuboresha uongozi wa shule kwa kuwa na kiongozi cha mkuu wa shule
kuboresha maslahi ya mwalimu kwa kumlipa kila deni analodai serikali na kulipa allowance ya mazingira magumu.
matokeo makubwa sasa yanategemewa kupimwa kwanzia darasa la saba mwaka huu na kidato cha nne mwaka huu.
Swali langu
Je ni rahisi kweli kupata matokeo makubwa sasa kwa muda mfupi hivi na kwa kutoa kipaumbele katika mambo haya?
Sio tungeanza kwa kuangalia mitaala yetu?
Tuchangie wadau tufanyeje kuinua elimu yetu..