sasa hivi ni kipindi cha pili. sudan wanashambulia sana na malawi wanazuia. Sudan wanacheza kwa malengo na mpira wa akili zaidi.
hadi sasa hivi dak 21 kipindi cha pili
MALAWI 0 - SUDAN 0.
Mia
sudan wamekosa goli la wazi baada ya kupigwa kona na kipa kutokea mpira akaukosa goli likabaki wazi ambapo aliyepiga kichwa alipiga nje wakati golini hamna mtu. ni dk ya 32. mia
hawa sudan wamefuzu kucheza fainali za africa ambao wanaungana na wenzao wa libya ambao walifuzu kucheza fainali za africa wakati nchini mwao kuna vita. libya michezo yao yote walichezea ugenini. mia