Matokeo : Manyara stars v/s uganda.....................

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527
Jamani matokeo ya game hili vp? mtujuze mliopo uwanjani..............
 
Wavunjee timu kama wamepandikiza vijeba na wanafungwa kwao!!
 
Tz imetia aibu, SIJUI watasingizia nini tena, maana walisema Uganda walipewa chakula kichafu, wakaumwa matumbo, leo je???
 
vijana wanajitahidi, tunatakiwa tuongeze mengine matatu.
 
duh....mnaoona hilo game, vp kuna dalili za goli kurudi au ndio tumeshalala tena
 
Samata ni kifaa jamani, TP Mazembe wamepata jembe.
 
tumepigwa la tatu, na watu wanaanza kuondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…