Matokeo mapya kidato cha 4 kutangazwa ijumaa

Mchago

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
15
Reaction score
3
Serekali ya tanzania inatarajiwa kutangaza matokeo mapya ya kidato cha nne siku ya Ijumaa.
Hayo yame semwa na wazir wa elimu wakati aki hojiwa katika kipi cha kume pamba zuka cha radio 1
pia wazr ame tangaza kua matokeo ya kidato cha 6 yatat0ka hv karbun na ame wa0mba watanzania kuwa na subira katka kusubr matokeo hayo
JE TU TEGEMEE NIN KATIKA MATOKEO HAYO?
 

Tutegemee walichokiamua wao,then tuvue ID zetu kama kweli tunania ya dhati.
 
vp kwani mukandala na ndalichako wamesha jiuzulu au wanasubiri yakitangazwa ndo wajiuzulu
 
Kila siku tetesi, we are tired of you, acheni kutusumbua. Watakapo amua kutoa watatoa wenyewe. Nyinyi nyamazeni kimya
 
Kwanini tetesi!Waziri amesema yatatangazwa Ijumaa au na yaye amesikia sikia yanaweza kutangazwa Ijumaa?
 
Kwa hiyo hiyo radio 1 umeisikiliza mwenyewe.
 
vp kwani mukandala na ndalichako wamesha jiuzulu au wanasubiri yakitangazwa ndo wajiuzulu

Wakristo huwa hawatakiwi kujiuzulu........Anayetakiwa kujiuzulu ni Dr. Kawambwa peke yake sawa???
 
Elimu iwe inatusaidia jamani hususani kwenye ukwaa hili,ni ujinga kutoa habari za matokeo bila ya kuwa na uhakika au chanzo cha kuaminika kwajili2 umejisikia kuandika ujinga wako humu.Tuelimike jamani
 
Wakristo huwa hawatakiwi kujiuzulu........Anayetakiwa kujiuzulu ni Dr. Kawambwa peke yake sawa???

Huu ni uchochezi wa kidini: Wakristo hawa walijiuzulu; Simon Mbilinyi, Edward Lowasa hawa ni wachache tu, hoja yako inapaswa kupuuzwa na Watanzania wapenda amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…