Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

Status
Not open for further replies.

ngoogle

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
209
Reaction score
56
Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu wa mh naibu wazir anayeshughulikia maswala ya elimu hapa nchini kwa sasa kuwa national examination results kwa matokeo yaliyofutwa yanatarajia kutangazwa kesho baada ya kukamilika kwa marekebisho ya upangaji mpya wa madaraja. chanzo cha kuaminika n ndugu wa karibu
 
mambo ya kiofisi ndugu kapewa taarifa.du,bora ungesema mfanykaz wa necta ndugu yake wazr.lakn labda,ila inaonekana nawe umeambiwa
 

duh kam n kwel bora aisee coz tunayasubir kwa ham thanaa...
 
Hii inaweza kuwa habari ya ukweli maana Naibu Waziri ni mzungumzaji sana kwa hiyo inawezekana ameanza kuwadokeza walio karibu naye kama hayo matokeo yako tayari. Macho na masikio yetu yanasubiri kwa hamu kuyasikia lakini muhimu zaidi tueleswe vigezo vilivyotumika kuyapanga upya tusije tukapingwa changa la macho wakachakachua halafu wakajificha ndani ya chaka la standardisation. Poleni madogo mliokubwa na kadhia hiyo lakini naamini mambo yenu yatakuwa super kabisa.

Mungu atuamshe salama hiyo kesho tuone matokeo yaliyopangwa upya
 
Kesho ndio siku watakayokua wanawakilisha bajeti yao hivyo watakua bize kwenye bajeti. Hivyo kuweni wavumilivu bajeti yao ikipitishwa ndio watatoa matokeo ili kupunguza maswali na wanahofia kupingwa kwa bajeti yao. ELIMU +SIASA=? Tafakari chukua hatua.
 
mambo ya kiofisi ndugu kapewa taarifa.du,bora ungesema mfanykaz wa necta ndugu yake wazr.lakn labda,ila inaonekana nawe umeambiwa

Huyu naibu waziri bila shaka ni yule anayeongoza kwa utajiri wa majina hapa bongo.
 
Hamna ki2 kama hicho coz kesho wanatoa bajeti yao ya elimu so hawawezi kuchanganya mambo hayo yote kwa siku moja.
 
Mulugo the 'failure' sijui anajiona naye waziri. Muungano wa Tanganyika na Zimbabwe
 
Unauhakika na hicho chanzo baba au ndo unarefresh ki mtindo .....na yaspotangazwa je .... et ndg wa karib mm nilifiklia may be umemcikia waziri mwenyewe anatangaza......:yell::kev::car: hee nipishe huko mm,,niende zang ....
 
Dah!kla ck matokeo yatatangazwa bt hakuna k2....2mechoka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…