Matokeo mapya ya Isaack Newton wa JF.

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Jf...!
Wakuu napenda kufahamu taarifa za Matokeo mapya ya mwanaJF mwenzetu Isaack Newton,

Kama mna kumbukumbu nzuri wote mtakubaliana na mmi kuwa ni vyema sasa tukapata fedback ya matokeo yake mapya baada ya yale kwanza ambayo ni Div 4-29 ( Math F, Hist D, Civ D, Geo-D, etc D's)
 
Last edited by a moderator:
ni yeye Isaack Newton aliyerisiti mitihani au ni Necta?kama ni Necta lazima wajipendelee marks na kupata div 3
 
Alitoa no. yake? There in after kwa uungwana ule ule wa kuomba ushauri nadhani atarudi kutoa update kwenye matokeo haya ya 'tume'
 
ni yeye Isaack Newton aliyerisiti mitihani au ni Necta?kama ni Necta lazima wajipendelee marks na kupata div 3

Mkuu BONGOLALA ni kweli muda NECTA wamerisiti lakin sasa ni vyema tujue matokeo ya mwenzetu huyu maana binafsi naona kama hakuna kilichobadilika.
 
Last edited by a moderator:
Yeye mwenyewe aje hapa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kwa hiyo una uwanja mpana wa kusoma kile ulicho intend kabla Necta haijachanganya mambo...tuambie sasa way foward
 
Mandieta Shikamoo...maana seem hujapata uhuru! Ni wazee waliokwisha jikatia tamaa ya maisha baada ya kupita nyika na mabonde pekee wanaoweza kupigia upatu chama chetu hiki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…