Matokeo mapya ya mpwa wangu

Matokeo mapya ya mpwa wangu

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Baada ya kimya kirefu cha kama miezi miwili hivi hatimaye Necta wameweka matokeo mapya.
baada ya kazi nzuri ya baraza na wizara hatimaye mpwa wangu kapanda daraja kutoka III hadi II ya 21.

Matokeo yake ni kama ifuatavyo

civics-D
history-D
chemistry-c
biology-c
physics-c
english-c
kiswahili-c
B/maths-c
geography-c

Kwa matokeo yake ya awali bofya https://www.jamiiforums.com/jukwaa-.../403395-haya-ndiyo-matokeo-ya-mpwa-wangu.html
 
Duh kama uncle tu anaitwa jingalao,mpwa si atakuwa zuzulao!

Zuzulao aombe na ya form six akifika wayachakachue lasi ivyo atakula bonge la zero

Hahahahahaaha!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
umeisoma hiyo link niliyokuwekea?
mpwa wangu walimchakachua kwenye hesabu,sasa hivi ana C badala ya D.yaliyobakia ni yale yale.
Acha wivu eboo!
 
Mpwa wako wakike ama wakiume?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
umeisoma hiyo link niliyokuwekea?
mpwa wangu walimchakachua kwenye hesabu,sasa hivi ana C badala ya D.yaliyobakia ni yale yale.
Acha wivu eboo!

Kama mpwa wako wa kike ozesha fasta mkuu kula hela hiyo! Yan hiyo unalea zero hiyo!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tusubirie fom 6 2015 if not mistaken...au kutakua na marekebisho pia..mmmm dc z TZ.
 
Mimi wadogo zangu wawili ni wahanga.mmoja katoka 28 hadi 26,na mwingine kabaki na 27 yake ile ile sijui kwani matokeo yake hayajabadilika
 
Back
Top Bottom