Duh kama uncle tu anaitwa jingalao,mpwa si atakuwa zuzulao!
Zuzulao aombe na ya form six akifika wayachakachue lasi ivyo atakula bonge la zero
Hahahahahaaha!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
umeisoma hiyo link niliyokuwekea?
mpwa wangu walimchakachua kwenye hesabu,sasa hivi ana C badala ya D.yaliyobakia ni yale yale.
Acha wivu eboo!
Wanafunzi wanafaulishwa ili kulinda rekodi za watawala zisichafuke.
Hii nchi aisee!!
nitake radhi shekh!
Mimi ni chama dume,cuf nimeoa tu!
Kwa hisani ya mtu wa tanzania