Matokeo mchezo wa kirafiki 12 Dec 2016 Simba 1 Mtibwa Sugar 2

Matokeo mchezo wa kirafiki 12 Dec 2016 Simba 1 Mtibwa Sugar 2

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Ndio matokeo ya mwisho Kati ya Simba Na Mtibwa Sugar mchezo umechezwa pale Chamanzi Complex.

Wapenzi wa Simba watatupa Taarifa zaidi na hata kukanusha kama matokeo haya sio ya kweli Nasikia kulikua na Red card mtujuze basi.
 
  • Kwani Simba Hawana Mkata Upepo wao mpaka wafungwe?
  • Wamecheza Chamazi, Vipi Usalama waliokuwa wakihofia?
 
Wao wanamkata Maji ila nadhan leo maji ya turiani yamemzd nguvu.
Nackia mo Ibrahimu na Mohamed banka wamepigana na kupewa kadi naona wenye timu wako kimya ila wangeshinda sasam
 
Back
Top Bottom