bryan2 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 3,323 Reaction score 4,679 Dec 12, 2016 #1 Ndio matokeo ya mwisho Kati ya Simba Na Mtibwa Sugar mchezo umechezwa pale Chamanzi Complex. Wapenzi wa Simba watatupa Taarifa zaidi na hata kukanusha kama matokeo haya sio ya kweli Nasikia kulikua na Red card mtujuze basi.
Ndio matokeo ya mwisho Kati ya Simba Na Mtibwa Sugar mchezo umechezwa pale Chamanzi Complex. Wapenzi wa Simba watatupa Taarifa zaidi na hata kukanusha kama matokeo haya sio ya kweli Nasikia kulikua na Red card mtujuze basi.
PROSPER 05 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2013 Posts 226 Reaction score 217 Dec 12, 2016 #2 Kwani Simba Hawana Mkata Upepo wao mpaka wafungwe? Wamecheza Chamazi, Vipi Usalama waliokuwa wakihofia?
Kwani Simba Hawana Mkata Upepo wao mpaka wafungwe? Wamecheza Chamazi, Vipi Usalama waliokuwa wakihofia?
bryan2 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 3,323 Reaction score 4,679 Dec 12, 2016 Thread starter #3 Wao wanamkata Maji ila nadhan leo maji ya turiani yamemzd nguvu. Nackia mo Ibrahimu na Mohamed banka wamepigana na kupewa kadi naona wenye timu wako kimya ila wangeshinda sasam
Wao wanamkata Maji ila nadhan leo maji ya turiani yamemzd nguvu. Nackia mo Ibrahimu na Mohamed banka wamepigana na kupewa kadi naona wenye timu wako kimya ila wangeshinda sasam
mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 944 Dec 12, 2016 #4 Wapi main switch[emoji3][emoji3][emoji3]
bryan2 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 3,323 Reaction score 4,679 Dec 12, 2016 Thread starter #5 mikumiyetu said: Wapi main switch[emoji3][emoji3][emoji3] Click to expand... Watani wa Wajadi wanautani wa Ngumi sana Kaburu anakwambia Hajaona Mkata Umeme ila Kaona KISHOKA Pale Yanga
mikumiyetu said: Wapi main switch[emoji3][emoji3][emoji3] Click to expand... Watani wa Wajadi wanautani wa Ngumi sana Kaburu anakwambia Hajaona Mkata Umeme ila Kaona KISHOKA Pale Yanga