matokeo muccobis

matokeo muccobis

Nizzo

Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
95
Reaction score
37
wakuu heshima yenu...mdogo wangu amemaliza diploma chuo cha ushirika moshi amepta GPA ya 4.2 na ameomba kujiunga na degree hapo hapo,je matokeo yao hayajatoka mpaka leo? Nimepitia kwa website ya chuo sijaona matokeo ya walioingia kupitia diploma...msaada kwa anayejua hili... Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom