Matokeo rasmi ya Uchaguzi yameahirishwa.

Matokeo rasmi ya Uchaguzi yameahirishwa.

Indume

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
81
Reaction score
37
Nipo nafuatilia kwa kina, Tume ya Uchaguzi Kenya imeanza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi LAKINI wamesitisha zoezi la kuendelea kutangaza hadi kesho saa 5 asubuhi. Wakati matokeo ya vituo mbalimbali yanatangazwa Kenyata alikuwa anaongoza akifuatiwa kwa karibu na Odinga.

Kwa namna inavyoonekana kusitisha zoezi kumtangaza mshindi nadhani pia wamehofia usalama wa raia maana hata wakati wanaendelea kutangaza wajumbe wa Tume walikuwa wanazomewa na wengine walionekana kuyakubali matokeo. Hebu tusubiri hadi jumamosi saa 5 tumsikie Rais mpya wa Kenya.
 
This is shame for African country! Let people know the outcome of what they did!
 
Back
Top Bottom