Elections 2010 Matokeo same both

Elections 2010 Matokeo same both

kishoreda

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
174
Reaction score
29
Mashariki
ccm 16200
chadema 9984
appt maendeleo 125

magharibi
ccm 12659
chadema 3969
 
Eh! mashariki na magharibi ya wapi?
 
Amenikumbusha kile kitabu cha Shaaban Robert. 'Kusadikika' ndio yapo majimbo ya mashariki na magharibi.
 
SAME hiyo lakini sishangai wamelidhika na umasikini wao, wanaona umasikini ni sehemu ya maisha yao. Mtu anayeipigia kura CCM ina maana amelidhika na alichonacho. Kama ni masikini anasema sawa Mungu kaniumba niwe masikini na kama ni tajiri anajua anavyopata pesa yake kwa udhaifu wa CCM au njia halali.
 
Jamani ni same
mashariki-anne kilango malecela
magharibi-mathayo david mathayo
muwe mnasoma na vichwa vya habari tafadhali
 
Back
Top Bottom