SAME hiyo lakini sishangai wamelidhika na umasikini wao, wanaona umasikini ni sehemu ya maisha yao. Mtu anayeipigia kura CCM ina maana amelidhika na alichonacho. Kama ni masikini anasema sawa Mungu kaniumba niwe masikini na kama ni tajiri anajua anavyopata pesa yake kwa udhaifu wa CCM au njia halali.