Haiwezeka; labda JF itakua imemhuju tena yule mmiliki wake Mhe Mch Dkt Mama Lwakatari katika hili la shule zake kutokufaulu??
Wana jf sio siri matokeo ya kidato cha nne ya shule ya secondary st Mary yanasikitisha hakuna hata mwanafunzi aliyeoata daraja la kwanza wala la pili.Kibaya zaidi ni kuwa ni moja ya shule ambazo zinaaminika ya kuwa ni kwa ajili ya watoto wa matajiri.

nahisi una mtu wako wa karibu ambae atakuwa amepata Oyaani wewe ni senior expert member halafu hujui hata sehemu ya kupost habari hii? tabu kweli kweli
kwani kwenye heading wewe umeona mazinde we vipi tuliza akilimakupa, st mary's mazinde juu imeshika nafasi ya ngapi?
mshika mawili moja humponyoka. Mara siasa, mara uchunguji, na sasa mchunguzi wa jf!
makupa, st mary's mazinde juu imeshika nafasi ya ngapi?