Matokeo St.Marys Secondary kichefuchefu

Yeye si ameòna walimu wa kenya na uganda ndo wanajua kufundsha ataisoma namba sasa.
 
Hawa waalim toka Kenya na Uganda kuna wakati wanaajiriwa bila kuangalia uwezo wao kama walimu zaidi ya kuweza kuongea kiingerza kilichojaa lafudhi za kwao!
 
Matokeo ya Taifa zima yanatia kichefuchefu. Ajabu mambo ni business as usual. Siyo walimu,siyo wazazi,siyo wizara wanafunzi ndio kabisa wala hawana 'time'. Nchi nyengine matokeo mabovu kiasi hiki yangepokelewa na hisia kali na si ajabu waziri elimu angekuwa amewajibishwa siku nyingi tu. CCM kwa kweli wameangamiza nchi and worse Watanzania tumepoteza matumaini. 90% div IV na fails,watu kimyaaa! Sijawahi kuona.
 
[h=3]st mary's dsm aibu tupu. DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 8 DIV-IV = 80 FLD = 34[/h]
 
Kwani shule ikiitwa St ndo wamendikiwa kufaulu tuuu
 
Wana jf sio siri matokeo ya kidato cha nne ya shule ya secondary st Mary yanasikitisha hakuna hata mwanafunzi aliyeoata daraja la kwanza wala la pili.Kibaya zaidi ni kuwa ni moja ya shule ambazo zinaaminika ya kuwa ni kwa ajili ya watoto wa matajiri.

hizi si za mama rwakatare? hakuna kitu hapo uhuni tuuu..
 
Hivi itakua ni nyinyi Wana-JF wenzangu ambao huenda ikawa ni kwamba mmemchongea Mama Lwakatare na hizi shule zake za St Mary's kwa walimu kufelishwa au kuna nini hasa? Katika hili lazima nitinge bungeni Dodoma kuhoji kulikoni???????

St Mary's dsm aibu tupu. DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 8 DIV-IV = 80 FLD = 34

 
kwanini shule hisi fungiwe kama ufaulu wa watoto ni mbovu......lakini tu chunguze kwa makini labda tatizo si kwa walimu ni wanafunzi wenyewe maana ile shule imechukua vilaza kalibia wote watoto wa wakubwa ime weka pale watafaulu vipi wakati hawa jui shida.....:nerd:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…