Matokeo STD VII Yaporomoka!

Kithuku, usichoke! I really feel your frustration!
HIyo ya taaluma ya ualimu kudharauliwa kinaniuma hata mimi! Siku hizi kuwa mwalimu ni sawa na kuwa failure in life!
Alafu tunashangaa shule za private ku-import walimu kutoka Kenya na nchi zingine hata India!
 

Asante Susuviri. Na je kuanzishwa vyuo vingi vya ualimu (bila kurekebisha hali mbaya ya walimu)kutaondoa tatizo hilo? Bado nina mashaka.

Pia nakuombeni msome ombi langu nililopost kwenye "Hoja Mchanganyiko" au kama mnavyoita "Miscellaneous".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…